Back

Crypto Trader Foundation Collection

Msingi kamili wa kuwa trader mwenye mafanikio kupitia Risk Management, Technical Analysis, Trading Psychology, TradingView na Spot Trading Execution. Build the right foundation before chasing profits.

11 Weeks
5 Courses
Beginner
User Avatar
Instructors:
Collection image

Anza safari yako ya kuwa trader mwenye msingi imara. Collection hii imekusanya courses muhimu za mwanzo zitakazokufundisha Risk Management, Trading Psychology, Technical Analysis, Candlestick Psychology, TradingView na Spot Trading Execution kwa hatua za kitaalamu na rahisi kuelewa.

Course Overview

Faqs

  1. Starter Plan inafaa kwa nani? Inafaa kwa beginners wanaotaka kujifunza trading kwa msingi sahihi kuanzia hatua ya kwanza.
  2. Nitajifunza nini kwenye Starter Plan? Utajifunza Risk Management, Trading Psychology, Technical Analysis, Candlesticks, TradingView na Spot Trading Execution.
  3. Je, nahitaji uzoefu wa trading kabla ya kujiunga? Hapana. Masomo yameandaliwa kwa wanaoanza kabisa.
  4. Nitapata access kwa muda gani? Utapata access kwa muda uliowekwa kwenye membership yako ya Starter Plan.
  5. Baada ya kumaliza Starter Plan nifanye nini? Unaweza kuendelea na Professional Crypto Trader (Pro Plan) ili kujifunza trading kwa kiwango cha kati na cha kitaalamu zaidi.