Elite Trader Mastery Collection
Fikia kiwango cha juu cha trading kwa kujifunza Advanced Market Structure, Smart Money Concepts (SMC), Advanced Futures Trading, Portfolio Management, na Professional Risk Management. Collection hii imeundwa kwa traders wanaotaka consistency, precision, na uwezo wa kufanya maamuzi ya kitaalamu kwenye soko la crypto.

Karibu kwenye kiwango cha juu zaidi cha mafunzo ndani ya Crypto Academy Pro. Collection hii imeundwa kwa traders wanaotaka kufikia uelewa wa kina wa soko, kujenga consistency, na kufanya maamuzi ya kitaalamu kwa kutumia mbinu za Advanced Trading.
Utajifunza Market Structure ya hali ya juu, Smart Money Concepts (SMC), Advanced Price Action, Futures Trading Strategies, Portfolio Management, na mifumo ya kitaalamu ya kutambua fursa zenye probability kubwa.
Collection hii inalenga kukusaidia kutoka kuwa trader wa kawaida na kuwa trader mwenye mfumo, nidhamu, na uwezo wa kufanya maamuzi kwa kujiamini katika mazingira yoyote ya soko
Course Overview
- Course 1
Risk Management & Trading Psychology
Asilimia 90 ya traders hupoteza fedha kwa sababu wanazingatia kutafuta faida kabla ya kuelewa usimamizi wa hatari (Risk Management) na saikolojia ya trading (Trading Psychology)....
- Course 2
Spot Trading Execution Mastery
Jifunze jinsi ya kuchagua coins sahihi, kuelewa market structure, kutumia order types kwa usahihi, kudhibiti risk, na kuendesha trades kwa confidence kama trader wa kweli....
01 Hour16 Minutes52 Seconds - Course 3
Technical Analysis Foundations
This tutorial will introduce you to PHP, a server-side scripting language you can use to make dynamic websites and web applications.
03 Days01 Hour17 Minutes51 Seconds - Course 4
Candlestick Psychology Mastery
The jQuery team knows all about cross-browser issues, and they have written this knowledge into the jQuery library. jQuery will run exactly the same in...
08 :00 :17 :52 - Course 5
Price Action Trading Mastery
In this course, We'll learn how to create websites by structuring and styling your pages with HTML and CSS.
- Course 6
Entry Models & Trade Execution
Many of the most powerful, memorable and effective photographs are black and white images. With digital photography though you can no longer take a great...
- Course 7
Futures Trading Fundamentals
Photography Masterclass: Your Complete Guide to Photography. The Best Selling Online Professional Photography Class: How to Take & Sell Photos.
01 Day01 Hour07 Minutes51 Seconds - Course 8
TradingView Mastery
Photography Masterclass: Your Complete Guide to Photography. The Best Selling Online Professional Photography Class: How to Take & Sell Photos.
- Course 9
Trading Psychology Mastery
Build and deploy a few Nodejs, MongoDB & Expressjs apps while watching to lectures by the author of 9 books on JS/Node.
03 Days01 Hour08 Minutes57 Seconds - Course 10
Trade Journaling & Performance Analysis
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry. Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s,...
05 Days01 Hour09 Minutes59 Seconds - Course 11
Smart Money Concepts (SMC)
Interchange now enables HTML partials for device specific content. Smoother animations and transitions happen with hardware acceleration. The default styles are all updated.
07 Days01 Hour10 Minutes58 Seconds - Course 12
Advanced Futures Trading
Sass is completely compatible with all versions of CSS. We take this compatibility seriously, so that you can seamlessly use any available CSS libraries.
09 Days01 Hour12 Minutes02 Seconds - Course 13
Market Cycle & Capital Rotation
Less is a CSS pre-processor, meaning that it extends the CSS language, adding features that allow variables, mixins, functions and many other techniques that allow...
10 Days01 Hour13 Minutes36 Seconds - Course 14
Portfolio Management & Wealth Building
This tutorial is specially designed to help you learn AngularJS as quickly and efficiently as possible.
13 Days01 Hour14 Minutes55 Seconds - Course 15
Professional Trading System Building
HTML is the language of choice for structuring and presenting content for the World Wide Web. In this free online course you will learn about...
13 Days01 Hour15 Minutes48 Seconds
Faqs
- Elite Trader Mastery Collection ni kwa nani? Ni kwa traders ambao tayari wanaelewa misingi ya crypto trading na wanataka kufikia kiwango cha juu cha kitaalamu.
- Nitajifunza nini kwenye Collection hii? Utajifunza Advanced Price Action, Smart Money Concepts (SMC), Advanced Futures Trading, Market Structure, Portfolio Management, na mifumo ya kutambua high-probability setups.
- Je, lazima nimalize Starter na Pro Plan kwanza? Ndiyo. Inashauriwa uwe na msingi mzuri wa trading kabla ya kuanza masomo ya Elite Level.
- Je, nitapata support wakati wa mafunzo? Ndiyo. Utapata support, mentorship, na mwongozo wa kukusaidia kuelewa masomo na kuboresha performance yako.
- Faida kubwa ya Elite Plan ni nini? Kukusaidia kufikiria na kufanya maamuzi kama trader wa kitaalamu kwa kutumia mifumo ya hali ya juu ya uchambuzi na usimamizi wa mtaji.
- Je, masomo haya yanafaa kwa Spot na Futures Trading? Ndiyo. Mafunzo yameandaliwa kukusaidia kufanya vizuri kwenye Spot Trading, Futures Trading, na usimamizi wa portfolio.
- Baada ya kumaliza Collection hii nitakuwa trader wa kiwango gani? Utakuwa na uelewa wa advanced trading systems, risk management, na market behavior unaotumiwa na traders wenye uzoefu mkubwa kwenye soko.



















