Back
4 Courses included
$377.00$99.00

You need to purchase package from products list to begin.

--List products:

Elite Wealth Builder Bundle

Hii ndiyo package ya juu zaidi kwa trader anayelenga kujenga utajiri wa muda mrefu kupitia cryptocurrency na trading.

Utajifunza kuelewa mienendo mikubwa ya soko, mtiririko wa mtaji, usimamizi wa portfolio, na jinsi ya kujenga mfumo wako binafsi wa trading unaoweza kukupa consistency kwa muda mrefu.

Inajumuisha:

  • Smart Money Concepts (SMC)
  • Market Cycle & Capital Rotation
  • Portfolio Management & Wealth Building
  • Professional Trading System Building

Lengo: Kukusaidia kutoka kuwa trader wa kawaida na kuwa trader mwenye mfumo, mkakati, na uwezo wa kujenga utajiri endelevu kupitia masoko ya kifedha.

show moreshow less

Course included