Back
3 Courses included
$91.00$69.00

You need to purchase package from products list to begin.

--List products:

Professional Trader Bundle

Hii ni package maalum kwa traders wanaotaka kupiga hatua kutoka beginner kwenda trader mwenye mfumo wa kitaalamu. Utajifunza namna ya kutambua entries bora, kusoma market structure, kudhibiti hisia wakati wa trading, na kuboresha matokeo yako kupitia data halisi za trading.

Ndani ya Package hii utapata:

✅ Price Action Trading Mastery
✅ Entry Models & Trade Execution
✅ Trading Psychology Mastery

Utajifunza:

📈 Market Structure, Breakouts & Retests
📈 Precision Entry & Confirmation Setups
📈 Trade Execution Techniques
📈 Fear, Greed & FOMO Control
📈 Discipline na Consistency Framework

Jenga uwezo wa kufanya trading kwa confidence, nidhamu na mfumo unaoweza kurudiwa kila siku kwa matokeo bora zaidi.

show moreshow less

Course included