Blockchain Technology & Cryptocurrency ni mwongozo rahisi na wa vitendo unaokufundisha misingi ya Blockchain, Cryptocurrency, Bitcoin, na matumizi yake katika dunia ya kidijitali. Kitabu hiki kitakusaidia kuelewa jinsi teknolojia ya blockchain inavyofanya kazi, namna ya kutumia crypto kwa usalama, na fursa mbalimbali zilizopo kwenye uchumi wa kidijitali.
Ni kitabu muhimu kwa wanaoanza na wanaotaka kujenga msingi imara wa maarifa ya cryptocurrency na blockchain kwa uelewa wa kina na lugha rahisi.


Reviews
There are no reviews yet.